2 Chronicles 34:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, wakati ambapo alikuwa amekwisha takasa nchi na nyumba, alituma watu watatu: Shafani mwana wa Azalia, Maaseya gavana wa mji na Yoa mwana wa Yoahazi, Katibu, ili waende kuirekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yosia, ili kutakasa nchi na Hekalu, akawatuma Shafani, mwana wa Azalia na Maaseya mtawala wa mji, pamoja na Yoa mwana wa Yoahazi, mwandishi ili kukarabati Hekalu la Mwenyezi Mungu, Mungu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata katika mwaka wa kumi na nane wa kutawala kwake, alipokwisha kuisafisha nchi, na nyumba, akamtuma Shafani, mwana wa Azalia, na Maaseya, akida wa mji, na Yoa, mwana wa Yoahazi, mwandishi wa tarehe, waitengeneze nyumba ya Bwana, Mungu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, wakati ambapo alikuwa amekwisha takasa nchi na nyumba, alituma watu watatu: Shafani mwana wa Azalia, Maaseya gavana wa mji na Yoa mwana wa Yoahazi, Katibu, ili waende kuirekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yosia, ili kutakasa nchi na Hekalu, akawatuma Shafani, mwana wa Azalia na Maaseya mtawala wa mji, pamoja na Yoa mwana wa Yoahazi, mwandishi ili kukarabati Hekalu la BWANA Mungu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Yosia, ili kutakasa nchi na Hekalu, akawatuma Shafani, mwana wa Azalia na Maaseya mtawala wa mji, pamoja na Yoa mwana wa Yoahazi, mwandishi ili kukarabati Hekalu la bwana Mwenyezi Mungu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata katika mwaka wa kumi na nane wa kutawala kwake, alipokwisha kuisafisha nchi, na nyumba, akamtuma Shafani, mwana wa Azalia, na Maaseya, mkuu wa mji, na Yoa, mwana wa Yoahazi, mwandishi wa kumbukumbu, waitengeneze nyumba ya BWANA, Mungu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, wakati ambapo alikuwa amekwisha takasa nchi na nyumba, alituma watu watatu: Shafani mwana wa Azalia, Maaseya gavana wa mji na Yoa mwana wa Yoahazi, Katibu, ili waende kuirekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa kumi na nane wa ufalme wake alipokwisha kuitakasa nchi na Nyumba hiyo, akamtuma Safani, mwana wa Asalia, na Masea, mkuu wa mji, na Yoa, mwana wa Yoahazi, aliyekuwa mwandishi wa mambo yaliyopasa kukumbukwa, kwenda kuitengeneza vizuri Nyumba ya Bwana Mungu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata katika mwaka wa kumi na nane wa kutawala kwake, alipokwisha kuisafisha nchi, na nyumba, akamtuma Shafani, mwana wa Azalia, na Maaseya, akida wa mji, na Yoa, mwana wa Yoahazi, mwandishi wa tarehe, waitengeneze nyumba ya BWANA, Mungu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, wakati ambapo alikuwa amekwisha kuisafisha inchi na nyumba, alituma watu watatu: Safani mwana wa Azalia, Masea liwali wa muji na Yoa mwana wa Yoahazi, mwandishi kusudi waende kutengeneza nyumba ya Yawe, Mungu wake.