2 Chronicles 35:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Yosia aliadhimisha Pasaka mjini Yerusalemu, wakachinja wanakondoo wa Pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yosia akaadhimisha Pasaka kwa Mwenyezi Mungu katika Yerusalemu, mwana-kondoo wa Pasaka akachinjwa siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yosia akamfanyia Bwana pasaka huko Yerusalemu; wakachinja pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Yosia aliadhimisha Pasaka mjini Yerusalemu, wakachinja wanakondoo wa Pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosia akaadhimisha Pasaka kwa BWANA katika Yerusalemu, mwana-kondoo wa Pasaka akachinjwa siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yosia akaadhimisha Pasaka kwa bwana katika Yerusalemu, mwana-kondoo wa Pasaka akachinjwa siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yosia akamfanyia BWANA Pasaka huko Yerusalemu; wakachinja Pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Yosia aliadhimisha Pasaka mjini Yerusalemu, wakachinja wanakondoo wa Pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yosia akamfanyia Bwana huko Yerusalemu sikukuu ya Pasaka, wakachinja wana kondoo wa Pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yosia akamfanyia BWANA pasaka huko Yerusalemu; wakachinja pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Yosia akafanyia Yawe sikukuu ya Pasaka katika Yerusalema, wakachinja wana-kondoo wa Pasaka siku ya kumi na ine ya mwezi wa kwanza.