2 Chronicles 35:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimchinja mwanakondoo wa Pasaka, nao makuhani walinyunyiza damu, waliyopokea kutoka kwao nao Walawi waliwachuna wanyama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana-kondoo wa Pasaka wakachinjwa, nao makuhani wakanyunyiza ile damu waliyokabidhiwa, wakati Walawi wakiwa wanawachuna wale wanyama ngozi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakachinja pasaka, nao makuhani wakamimina damu waliyopokea mikononi mwao, Walawi wakachuna.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimchinja mwanakondoo wa Pasaka, nao makuhani walinyunyiza damu, waliyopokea kutoka kwao nao Walawi waliwachuna wanyama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana kondoo wa Pasaka wakachinjwa, nao makuhani wakanyunyiza ile damu waliyokabidhiwa, wakati Walawi wakiwa wanawachuna wale wanyama ngozi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana-kondoo wa Pasaka wakachinjwa, nao makuhani wakanyunyiza ile damu waliyokabidhiwa, wakati Walawi wakiwa wanawachuna wale wanyama ngozi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakachinja Pasaka, nao makuhani wakamimina damu waliyopokea mikononi mwao, Walawi wakachuna.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimchinja mwanakondoo wa Pasaka, nao makuhani walinyunyiza damu, waliyopokea kutoka kwao nao Walawi waliwachuna wanyama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipowachinja wana kondoo wa Pasaka, watambikaji wakazipokea damu mikononi mwao wakazinyunyiza, nao Walawi wakawa wakichuna.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakachinja pasaka, nao makuhani wakamimina damu waliyopokea mikononi mwao, Walawi wakachuna.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakachinja mwana-kondoo wa Pasaka, nao makuhani wakanyunyiza damu waliyopokea kwa mikono yao nao Walawi wakachuna nyama.