2 Chronicles 35:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimchoma mwanakondoo wa Pasaka juu ya moto kama ilivyoagizwa, na pia walizitokosa sadaka takatifu katika vyungu, masufuria na kwenye vikaango, na kuwagawia upesiupesi watu wasiofanya kazi ya ukuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakawaoka wale wanyama wa Pasaka kwenye moto kama ilivyoamriwa, wakachemsha zile sadaka takatifu kwenye vyungu, masufuria makubwa na vikaango na kuwagawia watu wote upesi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaioka moto pasaka kama ilivyo sheria; wakatokosa matoleo matakatifu vyunguni, na masufuriani, na makaangoni, wakawachukulia upesi wana wa watu wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimchoma mwanakondoo wa Pasaka juu ya moto kama ilivyoagizwa, na pia walizitokosa sadaka takatifu katika vyungu, masufuria na kwenye vikaango, na kuwagawia upesiupesi watu wasiofanya kazi ya ukuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakawaoka wale wanyama wa Pasaka kwenye moto kama ilivyoamuriwa, wakachemsha zile sadaka takatifu kwenye vyungu, masufuria makubwa na vikaango na kuwagawia watu wote upesi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawaoka wale wanyama wa Pasaka kwenye moto kama ilivyoamriwa, wakachemsha zile sadaka takatifu kwenye vyungu, masufuria makubwa na vikaango na kuwagawia watu wote upesi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaioka moto Pasaka kama ilivyo sheria; wakatokosa matoleo matakatifu vyunguni, na masufuriani, na makaangoni, wakawachukulia upesi wana wa watu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimchoma mwanakondoo wa Pasaka juu ya moto kama ilivyoagizwa, na pia walizitokosa sadaka takatifu katika vyungu, masufuria na kwenye vikaango, na kuwagawia upesiupesi watu wasiofanya kazi ya ukuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nyama za Pasaka wakazioka motoni, kama walivyoagizwa; lakini zile za vipaji vitakatifu wakazipika katika vyungu na katika masufuria na katika makaango, wakazipelekea upesi wale walio watuwatu tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaioka moto pasaka kama ilivyo sheria; wakatokosa matoleo matakatifu vyunguni, na masufuriani, na makaangoni, wakawachukulia upesi wana wa watu wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakachoma mwana-kondoo wa Pasaka juu ya moto kufuatana na maagizo; vilevile wakatokotesha sadaka takatifu katika vyungu, masufuria na kwenye vikaango, na kuwagawanyia upesiupesi watu wasiofanya kazi ya ukuhani.