2 Chronicles 35:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pasaka hiyo iliadhimishwa katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wake mfalme Yosia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pasaka iliadhimishwa katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Mfalme Yosia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mwaka wa kumi na nane wa kutawala kwake Yosia ikafanyika pasaka hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pasaka hiyo iliadhimishwa katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wake mfalme Yosia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pasaka iliadhimishwa katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Mfalme Yosia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pasaka iliadhimishwa katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa Mfalme Yosia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mwaka wa kumi na nane wa kutawala kwake Yosia ikafanyika Pasaka hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pasaka hiyo iliadhimishwa katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wake mfalme Yosia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pasaka hii ikafanywa katika mwaka wa kumi na nane wa ufalme wa Yosia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwaka wa kumi na nane wa kutawala kwake Yosia ikafanyika pasaka hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pasaka hiyo ilifanyika katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mufalme Yosia.