2 Chronicles 35:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwateua makuhani kwa kazi zao ambazo walihitajika kufanya katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kuwatia moyo wazifanye kikamilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaweka makuhani kwenye wajibu wao na kuwatia moyo katika utumishi wa Hekalu la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawasimamisha makuhani katika malinzi yao, akawatia moyo kufanya utumishi wa nyumba ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwateua makuhani kwa kazi zao ambazo walihitajika kufanya katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kuwatia moyo wazifanye kikamilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaweka makuhani kwenye wajibu wao na kuwatia moyo katika utumishi wa Hekalu la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaweka makuhani kwenye wajibu wao na kuwatia moyo katika utumishi wa Hekalu la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaweka makuhani katika kazi zao, akawatia moyo kutumika katika nyumba ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwateua makuhani kwa kazi zao ambazo walihitajika kufanya katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kuwatia moyo wazifanye kikamilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaagiza watambikaji kuja kuzifanya kazi zao ziwapasazo, akawashikiza mioyo, watumikie Nyumbani mwa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawasimamisha makuhani katika malinzi yao, akawatia moyo kufanya utumishi wa nyumba ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawaweka makuhani kwa kazi zao ambazo walihitajika kufanya katika nyumba ya Yawe na kuwatia moyo wazifanye kwa ukamilifu.