2 Chronicles 35:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo mengine ya Yosia na matendo yake mema kama yalivyoandikwa katika sheria ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matukio mengine ya utawala wa Yosia na matendo yake mema, kulingana na yale yaliyoandikwa katika Torati ya Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mambo yote ya Yosia yaliyosalia, na matendo yake mema, sawasawa na yote yaliyoandikwa katika torati ya Bwana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo mengine ya Yosia na matendo yake mema kama yalivyoandikwa katika sheria ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matukio mengine ya utawala wa Yosia na matendo yake mema, kulingana na yale yaliyoandikwa katika sheria ya BWANA
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matukio mengine ya utawala wa Yosia na matendo yake mema, kulingana na yale yaliyoandikwa katika Torati ya bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mambo yote ya Yosia yaliyosalia, na matendo yake mema, sawasawa na yote yaliyoandikwa katika Torati ya BWANA,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo mengine ya Yosia na matendo yake mema kama yalivyoandikwa katika sheria ya Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo mengine ya Yosia na matendo ya upole wake yaliyopatana nayo yaliyoandikwa katika Maonyo ya Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mambo yote ya Yosia yaliyosalia, na matendo yake mema, sawasawa na yote yaliyoandikwa katika torati ya BWANA,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matendo mengine ya Yosia na matendo yake mema kama vile yalivyoandikwa katika Sheria ya Yawe,