2 Chronicles 35:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na matendo yake tangu mwanzo hadi mwisho, hayo yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
matukio yote, kuanzia mwanzo hadi mwisho, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mambo yake, ya kwanza na ya mwisho, tazama, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na matendo yake tangu mwanzo hadi mwisho, hayo yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
matukio yote, kuanzia mwanzo hadi mwisho, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
matukio yote, kuanzia mwanzo hadi mwisho, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mambo yake, ya kwanza hadi ya mwisho, tazama, yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na matendo yake tangu mwanzo hadi mwisho, hayo yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo mambo yake ya kwanza na ya mwisho tunayaona, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Waisiraeli na wa Wayuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mambo yake, ya kwanza na ya mwisho, tazama, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli na Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na matendo yake tangu mwanzo mpaka mwisho, angalia yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Israeli na Yuda.