2 Chronicles 35:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Timizeni wajibu wenu kulingana na koo zenu, kufuatana na maagizo ya Daudi mfalme wa Israeli na Solomoni mwanawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jiandaeni kwa kufuata jamaa zenu katika migawanyo yenu, kufuatana na maelezo yaliyoandikwa na Daudi mfalme wa Israeli na mwanawe Sulemani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkajiweke tayari kwa kadiri ya nyumba za baba zenu, kwa zamu zenu, kama alivyoandika Daudi mfalme wa Israeli, na kama alivyoandika Sulemani mwanawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Timizeni wajibu wenu kulingana na koo zenu, kufuatana na maagizo ya Daudi mfalme wa Israeli na Solomoni mwanawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jiandaeni kwa kufuata jamaa zenu katika migawanyo yenu, kufuatana na maelezo yaliyoandikwa na Daudi mfalme wa Israeli na mwanawe Solomoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jiandaeni kwa kufuata jamaa zenu katika migawanyo yenu, kufuatana na maelezo yaliyoandikwa na Daudi mfalme wa Israeli na mwanawe Sulemani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkajiweke tayari kwa kadiri ya nyumba za baba zenu, kwa zamu zenu, kama alivyoandika Daudi mfalme wa Israeli, na kama alivyoandika Sulemani mwanawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Timizeni wajibu wenu kulingana na koo zenu, kufuatana na maagizo ya Daudi mfalme wa Israeli na Solomoni mwanawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mkijiweka tayari kwa milango ya baba zenu na kwa zamu zenu, kama Dawidi, mfalme wa Isiraeli, alivyoviandika, na kama mwanawe Salomo alivyoviandika naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkajiweke tayari kwa kadiri ya nyumba za baba zenu, kwa zamu zenu, kama alivyoandika Daudi mfalme wa Israeli, na kama alivyoandika Sulemani mwanawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mushike kazi yenu kulingana na ukoo zenu, kufuatana na maagizo ya Daudi mufalme wa Israeli na ya Solomono mwana wake.