2 Chronicles 35:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchinjeni mwanakondoo wa Pasaka, mjitakase, halafu itayarisheni kwa ajili ya ndugu zenu, ili waweze kutimiza agizo la Mwenyezi-Mungu lililosemwa na Mose.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chinjeni mwana-kondoo wa Pasaka, jitakaseni, nanyi kwa niaba ya koo zenu fanyeni maandalizi, mkitenda sawasawa na neno la Mwenyezi Mungu kwa mkono wa Musa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkachinje pasaka, mkajitakase, mkawatengenezee ndugu zenu, kutenda sawasawa na neno la Bwana kwa mkono wa Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchinjeni mwanakondoo wa Pasaka, mjitakase, halafu itayarisheni kwa ajili ya ndugu zenu, ili waweze kutimiza agizo la Mwenyezi-Mungu lililosemwa na Mose.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chinjeni mwana-kondoo wa Pasaka, jitakaseni, nanyi kwa niaba ya koo zenu fanyeni maandalizi, mkitenda sawasawa na neno la BWANA kwa mkono wa Mose.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chinjeni mwana-kondoo wa Pasaka, jitakaseni, nanyi kwa niaba ya koo zenu fanyeni maandalizi, mkitenda sawasawa na neno la bwana kwa mkono wa Musa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkachinje Pasaka, mkajitakase, mkawatengenezee ndugu zenu, kutenda sawasawa na neno la BWANA kwa mkono wa Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchinjeni mwanakondoo wa Pasaka, mjitakase, halafu itayarisheni kwa ajili ya ndugu zenu, ili waweze kutimiza agizo la Mwenyezi-Mungu lililosemwa na Mose.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wachinjeni wana kondoo wa Pasaka na kujitakasa, kuwatengenezeeni ndugu zenu na kufanya, kama Bwana alivyoagiza kinywani mwa Mose!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkachinje pasaka, mkajitakase, mkawatengenezee ndugu zenu, kutenda sawasawa na neno la BWANA kwa mkono wa Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchinje mwana-kondoo wa Pasaka, mujitakase, halafu mutayarishe Pasaka kwa ajili ya wandugu zenu, kusudi waweze kutimiza neno la Yawe lililosemwa na Musa.”