2 Chronicles 35:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Konania na nduguze wawili, Shemaya na Nethaneli, pamoja na Hashabia, Yeieli na Yozabadi, waliokuwa viongozi wa Walawi, nao pia waliwapa wanakondoo na wanambuzi 5,000 na mafahali 500, kwa ajili ya sadaka za Pasaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Konania na nduguze wawili, Shemaya na Nethaneli, pamoja na Hashabia, Yeieli na Yozabadi waliokuwa viongozi wa Walawi, nao pia wakawapa Walawi wana-kondoo na wana-mbuzi elfu tano, na mafahali mia tano, kwa ajili ya sadaka za Pasaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Konania naye, na Shemaya, na Nethaneli, ndugu zake, na Hashabia, na Yeieli, na Yozabadi, wakuu wa Walawi, wakawapa Walawi, kuwa matoleo ya pasaka, wana-kondoo elfu tano, na ng'ombe mia tano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Konania na nduguze wawili, Shemaya na Nethaneli, pamoja na Hashabia, Yeieli na Yozabadi, waliokuwa viongozi wa Walawi, nao pia waliwapa wanakondoo na wanambuzi 5,000 na mafahali 500, kwa ajili ya sadaka za Pasaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Konania na nduguze wawili, Shemaya na Nethaneli, pamoja na Hashabia, Yeieli na Yozabadi waliokuwa viongozi wa Walawi, nao pia wakawapa Walawi wana-kondoo na wana-mbuzi 5,000 na mafahali 500, kwa ajili ya sadaka za Pasaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Konania na nduguze wawili, Shemaya na Nethaneli, pamoja na Hashabia, Yeieli na Yozabadi waliokuwa viongozi wa Walawi, nao pia wakawapa Walawi wana-kondoo na wana-mbuzi 5,000 na mafahali 500, kwa ajili ya sadaka za Pasaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Konania naye, na Shemaya, na Nethaneli, ndugu zake, na Hashabia, na Yeieli, na Yozabadi, wakuu wa Walawi, wakawapa Walawi, kuwa matoleo ya Pasaka, wana-kondoo elfu tano na ng'ombe mia tano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Konania na nduguze wawili, Shemaya na Nethaneli, pamoja na Hashabia, Yeieli na Yozabadi, waliokuwa viongozi wa Walawi, nao pia waliwapa wanakondoo na wanambuzi 5,000 na mafahali 500, kwa ajili ya sadaka za Pasaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakuu wa Walawi Konania na ndugu zake Semaya na Netaneli, tena Hasabia na Yieli na Yozabadi waliwatolea Walawi kondoo wa Pasaka 5000 na ng'ombe 500.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Konania naye, na Shemaya, na Nethaneli, ndugu zake, na Hashabia, na Yeieli, na Yozabadi, wakuu wa Walawi, wakawapa Walawi, kuwa matoleo ya pasaka, wana-kondoo elfu tano, na ng’ombe mia tano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Konania na wandugu zake wawili, Semaya na Netaneli, pamoja na Hasabia, Yeieli na Yozabadi, waliokuwa viongozi wa Walawi, nao vilevile waliwapa wana-kondoo na wana-mbuzi elfu tano na ngombe dume mia tano, kwa ajili ya sadaka za Pasaka.