2 Chronicles 36:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Yuda walimtwaa Yehoahazi, mwana wa Yosia, wakamtawaza awe mfalme mahali pa baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia na kumfanya mfalme mahali pa baba yake huko Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wa nchi wakamtwaa Yehoahazi mwana wa Yosia, wakamtawaza awe mfalme katika Yerusalemu badala ya babaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Yuda walimtwaa Yehoahazi, mwana wa Yosia, wakamtawaza awe mfalme mahali pa baba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia na kumfanya aingie mahali pa baba yake kuwa mfalme katika Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia na kumfanya mfalme mahali pa baba yake huko Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wa nchi wakamtwaa Yehoahazi mwana wa Yosia, wakamtawaza awe mfalme katika Yerusalemu mahali pa babaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Yuda walimtwaa Yehoahazi, mwana wa Yosia, wakamtawaza awe mfalme mahali pa baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wa nchi hii wakamchukua Yoahazi, mwana wa Yosia, wakamfanya kuwa mfalme mahali pa baba yake Yosia mle Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wa nchi wakamtwaa Yehoahazi mwana wa Yosia, wakamtawaza awe mfalme katika Yerusalemu badala ya babaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa inchi ya Yuda wakatwaa Yoahazi, mwana wa Yosia, wakamuweka kuwa mufalme pahali pa baba yake.