2 Chronicles 36:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka kumi na mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na moja alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka kumi na moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja, alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na mmoja;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka kumi na mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka kumi na mmoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka kumi na mmoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja, alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na mmoja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka kumi na mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sedekia alikuwa mwenye miaka 21 alipoupata ufalme, akawa mfalme miaka 11 mle Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja, alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na mmoja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sedekia alikuwa na umri wa miaka makumi mbili na mumoja alipoanza kutawala, akatawala kule Yerusalema kwa muda wa miaka kumi na mumoja.