2 Chronicles 36:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wao waliendelea kuwadhihaki wajumbe wa Mungu, wakayapuuza maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka hatimaye ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi ya watu wake hata kusiwe na namna yoyote ya kutoroka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini waliwadhihaki wajumbe wa Mwenyezi Mungu wakayadharau maneno yake na kuwacheka manabii wake hadi ghadhabu ya Mwenyezi Mungu ikawa kubwa dhidi ya watu wake, na hakukuwa na namna ya kuituliza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini waliwadhihaki wajumbe wa Mungu, na kuyadharau maneno yake, na kuwacheka manabii wake, hata ilipozidi ghadhabu ya Bwana juu ya watu wake, hata kusiwe na kuponya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wao waliendelea kuwadhihaki wajumbe wa Mungu, wakayapuuza maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka hatimaye ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi ya watu wake hata kusiwe na namna yoyote ya kutoroka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini waliwadhihaki wajumbe wa BWANA wakayadharau maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka ghadhabu ya BWANA ikawa kubwa dhidi ya watu wake na hakukuwa na namna ya kuituliza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini waliwadhihaki wajumbe wa bwana wakayadharau maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka ghadhabu ya bwana ikawa kubwa dhidi ya watu wake na hakukuwa na namna ya kuituliza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini waliwadhihaki wajumbe wa Mungu, na kuyadharau maneno yake, na kuwacheka manabii wake, hata ilipozidi ghadhabu ya BWANA juu ya watu wake, hata kusiwe na kuponya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wao waliendelea kuwadhihaki wajumbe wa Mungu, wakayapuuza maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka hatimaye ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi ya watu wake hata kusiwe na namna yoyote ya kutoroka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wao wakawasimanga wajumbe wa Mungu, nayo maneno yake wakayabeza na kuwafyoza wafumbuaji wake, mpaka makali ya Bwana yawakayo moto wa kuwakasirikia walio ukoo wake yakamkwea, asipatikane aliyeweza kuwaponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini waliwadhihaki wajumbe wa Mungu, na kuyadharau maneno yake, na kuwacheka manabii wake, hata ilipozidi ghadhabu ya BWANA juu ya watu wake, hata kusiwe na kuponya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wao waliendelea kuwachekelea wajumbe wa Mungu, wakayazarau maneno yake na kuwachekelea manabii wake mpaka kwa mwisho kasirani ya Yawe ikawaka juu ya watu wake hata hakukukuwa wa kuwaponyesha.