2 Chronicles 36:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitwaa vyombo vyote vya nyumba ya Mungu vikubwa na vidogo na hazina ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ya mfalme na maofisa wake. Alivipeleka vyote mpaka Babuloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akavichukua kwenda Babeli vyombo vyote kutoka Hekalu la Mungu, vikubwa na vidogo, hazina za Hekalu la Mwenyezi Mungu pamoja na hazina za mfalme na za maafisa wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vyombo vyote vya nyumba ya Mungu, vikubwa kwa vidogo, na hazina za nyumba ya Bwana, na hazina za mfalme, na za wakuu wake; vyote pia akavileta Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitwaa vyombo vyote vya nyumba ya Mungu vikubwa na vidogo na hazina ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ya mfalme na maofisa wake. Alivipeleka vyote mpaka Babuloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akavichukua kwenda Babeli vyombo vyote kutoka katika Hekalu la Mungu, vikubwa na vidogo, hazina za Hekalu la BWANA pamoja na hazina za mfalme na za maafisa wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akavichukua kwenda Babeli vyombo vyote kutoka Hekalu la Mungu, vikubwa na vidogo, hazina za Hekalu la bwana pamoja na hazina za mfalme na za maafisa wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vyombo vyote vya nyumba ya Mungu, vikubwa kwa vidogo, na hazina za nyumba ya BWANA, na hazina za mfalme, na za wakuu wake; vyote pia akavileta Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitwaa vyombo vyote vya nyumba ya Mungu vikubwa na vidogo na hazina ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ya mfalme na maofisa wake. Alivipeleka vyote mpaka Babuloni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vyombo vyote vya Nyumbani mwa Mungu, vikubwa kwa vidogo, navyo vilimbiko vya Nyumbani mwa Bwana, navyo vilimbiko vya mfalme na vya wakuu wake, vyote pia akavipeleka Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vyombo vyote vya nyumba ya Mungu, vikubwa kwa vidogo, na hazina za nyumba ya BWANA, na hazina za mfalme, na za wakuu wake; vyote pia akavileta Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitwaa vyombo vyote vya nyumba ya Mungu vikubwa na vidogo na hazina ya nyumba ya Yawe na ya mufalme na wakubwa wake. Alivipeleka vyote mpaka Babeli.