2 Chronicles 36:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala kwa muda wa miezi mitatu huko Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa miezi mitatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala huko Yerusalemu miezi mitatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala kwa muda wa miezi mitatu huko Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, naye akatawala katika Yerusalemu kwa miezi mitatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa miezi mitatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala huko Yerusalemu miezi mitatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala kwa muda wa miezi mitatu huko Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoahazi alikuwa mwenye miaka 23 alipoupata ufalme, akawa mfalme miezi 3 mle Yerusalemu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala huko Yerusalemu miezi mitatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoahazi alikuwa na umri wa miaka makumi mbili na mitatu alipoanza kutawala; akatawala kwa muda wa miezi mitatu akiwa kule Yerusalema.