2 Chronicles 36:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walionusurika vitani aliwachukua uhamishoni Babuloni. Huko wakawa watumwa wake na wa wazawa wake mpaka mwanzo wa ufalme wa Persia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale watu walionusurika kuuawa kwa upanga wakachukuliwa kwenda uhamishoni Babeli. Nao wakawa watumishi wake na wa wanawe hadi wakati wa utawala wa ufalme wa Uajemi ulifika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale waliookoka na upanga akawachukua mpaka Babeli; wakamtumikia yeye na wanawe hata kulipoingia milki ya Uajemi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walionusurika vitani aliwachukua uhamishoni Babuloni. Huko wakawa watumwa wake na wa wazawa wake mpaka mwanzo wa ufalme wa Persia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale watu walionusurika kuuawa kwa upanga wakachukuliwa kwenda uhamishoni Babeli, nao wakawa watumishi wake na wa wanawe mpaka wakati wa utawala wa ufalme wa Uajemi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale watu walionusurika kuuawa kwa upanga wakachukuliwa kwenda uhamishoni Babeli. Nao wakawa watumishi wake na wa wanawe mpaka wakati wa utawala wa ufalme wa Uajemi ulifika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale waliookoka na upanga akawachukua mpaka Babeli; wakamtumikia yeye na wanawe hata kulipoingia milki ya Uajemi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu walionusurika vitani aliwachukua uhamishoni Babuloni. Huko wakawa watumwa wake na wa wazawa wake mpaka mwanzo wa ufalme wa Persia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wote waliosalia, wasiouawa na panga, akawahamisha kwenda Babeli, wakawa watumwa wake yeye na wa wanawe, mpaka Wapersia walipopata ufalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale waliookoka na upanga akawachukua mpaka Babeli; wakamtumikia yeye na wanawe hata kulipoingia milki ya Uajemi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waliookolewa kwenye vita aliwapeleka katika uhamisho Babeli. Kule wakakuwa watumwa wake na wa wazao wake mpaka ufalme wa Persia ulipoinuka kwa nguvu.