2 Chronicles 36:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nebukadneza mfalme wa Babuloni, alimshambulia, akamfunga kwa pingu ili kumpeleka mateka Babuloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nebukadneza mfalme wa Babeli akamshambulia na kumfunga kwa pingu za shaba akampeleka Babeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Juu yake akakwea Nebukadreza,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nebukadneza mfalme wa Babuloni, alimshambulia, akamfunga kwa pingu ili kumpeleka mateka Babuloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nebukadneza mfalme wa Babeli akamshambulia na kumfunga kwa pingu za shaba akampeleka Babeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nebukadneza mfalme wa Babeli akamshambulia na kumfunga kwa pingu za shaba akampeleka Babeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Juu yake akakwea Nebukadneza, mfalme wa Babeli, akamfunga kwa pingu, amchukue mpaka Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nebukadneza mfalme wa Babuloni, alimshambulia, akamfunga kwa pingu ili kumpeleka mateka Babuloni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, akamjia, akamfunga kwa minyororo kumpeleka Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Juu yake akakwea Nebukadreza, mfalme wa Babeli, akamfunga kwa pingu, amchukue mpaka Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Nebukadneza mufalme wa Babeli, akamushambulia, akamufunga kwa minyororo kwa kumupeleka Babeli.