2 Chronicles 36:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nebukadneza pia alitwaa baadhi ya vyombo vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu akavipeleka Babuloni na kuviweka katika ikulu yake huko Babuloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nebukadneza akachukua pia vyombo kutoka Hekalu la Mwenyezi Mungu na kuviweka katika hekalu lake huko Babeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nebukadreza akachukua baadhi ya vyombo vya nyumba ya Bwana mpaka Babeli, akavitia katika hekalu lake huko Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nebukadneza pia alitwaa baadhi ya vyombo vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu akavipeleka Babuloni na kuviweka katika ikulu yake huko Babuloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nebukadneza akachukua pia vyombo kutoka katika Hekalu la BWANA na kuviweka katika hekalu lake huko Babeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nebukadneza akachukua pia vyombo kutoka Hekalu la bwana na kuviweka katika hekalu lake huko Babeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nebukadneza akachukua baadhi ya vyombo vya nyumba ya BWANA mpaka Babeli, akavitia katika hekalu lake huko Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nebukadneza pia alitwaa baadhi ya vyombo vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu akavipeleka Babuloni na kuviweka katika ikulu yake huko Babuloni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vyombo vingine vya Nyumba ya Bwana Nebukadinesari akavipeleka Babeli, akvitia jumbani mwake huko Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nebukadreza akachukua baadhi ya vyombo vya nyumba ya BWANA mpaka Babeli, akavitia katika hekalu lake huko Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nebukadneza akatwaa vilevile vyombo vimoja vya nyumba ya Yawe akavipeleka Babeli na kuviweka katika nyumba ya kifalme kule Babeli.