2 Chronicles 4:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Solomoni alitengeneza madhabahu ya shaba ya mraba mita 9 kwa mita 9, na kimo chake mita 4.5.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Sulemani akatengeneza madhabahu ya shaba yenye urefu wa dhiraa ishirini, upana wa dhiraa ishirini na kimo chake dhiraa kumi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena akafanya madhabahu ya shaba, mikono ishirini urefu wake, na mikono ishirini upana wake, na mikono kumi kwenda juu kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Solomoni alitengeneza madhabahu ya shaba ya mraba mita 9 kwa mita 9, na kimo chake mita 4.5.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Solomoni akatengeneza madhabahu ya shaba yenye urefu wa dhiraa ishirini, upana wa dhiraa ishirini na kimo chake dhiraa kumi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Sulemani akatengeneza madhabahu ya shaba yenye urefu wa dhiraa ishirini, upana wa dhiraa ishirini na kimo chake dhiraa kumi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena akafanya madhabahu ya shaba, dhiraa ishirini urefu wake, na dhiraa ishirini upana wake, na dhiraa kumi kwenda juu kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Solomoni alitengeneza madhabahu ya shaba ya mraba mita 9 kwa mita 9, na kimo chake mita 4.5.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatengeneza meza ya kuteketezea ng'ombe za tambiko iliyokuwa ya shaba, urefu wake ulikuwa mikono 20, nao upana wake ulikuwa mikono 20, nao urefu wa kwenda juu ulikuwa mikono 10.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena akafanya madhabahu ya shaba, mikono ishirini urefu wake, na mikono ishirini upana wake, na mikono kumi kwenda juu kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Solomono alitengeneza birika la maji la muviringo lenye urefu wa metre mbili na sentimetre makumi mbili na tano na upana sawa na metre kenda, na urefu wake kwenda juu metre ine na nusu.