2 Chronicles 4:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na lile tangi akaliweka kwenye pembe ya kusini-mashariki ya nyumba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaiweka ile Bahari upande wa kusini, kwenye pembe ya kusini-mashariki mwa nyumba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo bahari akaiweka upande wa kuume kwa mashariki, kuelekea kusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na lile tangi akaliweka kwenye pembe ya kusini-mashariki ya nyumba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaweka ile Bahari upande wa kusini, kwenye pembe ya kusini mashariki ya nyumba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaweka ile Bahari upande wa kusini, kwenye pembe ya kusini mashariki ya nyumba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo bahari akaiweka upande wa kulia kwa mashariki, kuelekea kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na lile tangi akaliweka kwenye pembe ya kusini-mashariki ya nyumba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ile bahari akaiweka upande wa kuume wa hilo jumba, ielekee mawioni kwa jua, lakini kusini kidogo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo bahari akaiweka upande wa kuume kwa mashariki, kuelekea kusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na lile birika akaliweka kwenye pembe ya kusini-mashariki ya nyumba.