2 Chronicles 4:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pia mifano ya makomamanga 400 kwa ajili ya nyavu hizo mbili, safu mbilimbili za makomamanga kwa kila wavu, ili kupamba mabakuli yale mawili ya taji zilizokuwa juu ya kila nguzo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yale makomamanga mia nne kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na makomamanga mia nne ya nyavu mbili; safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, kuzifunika vimbe mbili za taji zilizokuwa juu ya nguzo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pia mifano ya makomamanga 400 kwa ajili ya nyavu hizo mbili, safu mbilimbili za makomamanga kwa kila wavu, ili kupamba mabakuli yale mawili ya taji zilizokuwa juu ya kila nguzo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yale makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu yakipamba hizo nyavu mbili zilizowekwa juu ya zile nguzo);
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yale makomamanga 400 kwa ajili ya hizo nyavu mbili (safu mbili za makomamanga kwa kila wavu yakipamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli juu ya hizo nguzo);
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na makomamanga mia nne ya nyavu mbili; safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, kuyafunika mabakuli mawili ya mataji yalikuwa juu ya nguzo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pia mifano ya makomamanga 400 kwa ajili ya nyavu hizo mbili, safu mbilimbili za makomamanga kwa kila wavu, ili kupamba mabakuli yale mawili ya taji zilizokuwa juu ya kila nguzo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena alitengeneza komamanga 400 zilizotiwa katika ile misuko, kila msuko mmoja ukipata mistari miwili ya komamanga ya kuvifunika vile vilemba viwili vya vichwa vilivyoko juu ya hizo nguzo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na makomamanga mia nne ya nyavu mbili; safu mbili za makomamanga kwa kila wavu, kuzifunika vimbe mbili za taji zilizokuwa juu ya nguzo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
vilevile mifano ya makomamanga mia ine kwa ajili ya nyavu zile mbili, mistari miwili miwili ya makomamanga kwa kila wavu, kwa kupamba mabakuli yale mawili ya taji zilizokuwa juu ya kila nguzo.