2 Chronicles 4:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hali kadhalika alitengeneza birika juu ya magari,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vishikio pamoja na masinia yake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akayafanya na matako, na mabirika akafanya juu ya matako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hali kadhalika alitengeneza birika juu ya magari,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
vishikio pamoja na masinia yake;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
vishikio pamoja na masinia yake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatengeneza vitako, akatengeneza na mabeseni juu ya vitako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hali kadhalika alitengeneza birika juu ya magari,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena alitengeneza vile vilingo 10, nayo mitungi aliitengeneza iliyowekwa juu ya hivyo vilingo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akayafanya na matako, na mabirika akafanya juu ya matako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile akatengeneza beseni juu ya magari,