2 Chronicles 4:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na tangi lile moja, na sanamu za mafahali kumi na mawili chini ya hilo tangi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hiyo Bahari na hao mafahali kumi na wawili chini yake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bahari moja, na ng'ombe kumi na wawili chini yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na tangi lile moja, na sanamu za mafahali kumi na mawili chini ya hilo tangi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hiyo Bahari na hao mafahali kumi na wawili chini yake;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hiyo Bahari na hao mafahali kumi na wawili chini yake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mafahali kumi na wawili chini yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na tangi lile moja, na sanamu za mafahali kumi na mawili chini ya hilo tangi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo ile bahari moja na zile ng'ombe 12 zilizokuwa chini yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bahari moja, na ng’ombe kumi na wawili chini yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na birika lile moja, na sanamu za ngombe dume kumi na wawili chini ya birika lile.