2 Chronicles 4:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu masufuria, sepetu na nyuma na vyombo vingine vyote vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu ambavyo Huramu-abi alimtengenezea mfalme Solomoni, vilikuwa vya shaba iliyongarishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pia hayo masufuria, masepetu, uma za nyama na vyombo vingine vyote vilivyohusiana. Vitu vyote ambavyo Huram-Abi alimtengenezea Mfalme Sulemani kwa ajili ya Hekalu la Mwenyezi Mungu vilikuwa vya shaba iliyosuguliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Masufuria pia, na majembe, na nyuma, na vyombo vyake vyote, Huramu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu masufuria, sepetu na nyuma na vyombo vingine vyote vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu ambavyo Huramu-abi alimtengenezea mfalme Solomoni, vilikuwa vya shaba iliyong'arishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pia hayo masufuria, masepetu, nyuma za nyama na vyombo vingine vyote vilivyohusiana. Vitu vyote ambavyo Huramu-Abi alimtengenezea Mfalme Solomoni kwa ajili ya Hekalu la BWANA vilikuwa vya shaba iliyosuguliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pia hayo masufuria, masepetu, uma za nyama na vyombo vingine vyote vilivyohusiana. Vitu vyote ambavyo Huramu-Abi alimtengenezea Mfalme Sulemani kwa ajili ya Hekalu la bwana vilikuwa vya shaba iliyosuguliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vyungu, pia sepetu, nyuma na vyombo vingine vyote, Huram-abi akamtengenezea mfalme Sulemani kwa ajili ya nyumba ya BWANA, vilikuwa vya shaba iliyong'arishwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu masufuria, sepetu na nyuma na vyombo vingine vyote vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu ambavyo Huramu-abi alimtengenezea mfalme Solomoni, vilikuwa vya shaba iliyongarishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo masufuria na majembe na nyuma, navyo vyombo vingine vyote Huramu-Abiwu alivitengeneza kwa shaba zilizoyeyushwa, mfalme Salomo avitie nyumbani mwa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Masufuria pia, na majembe, na nyuma, na vyombo vyake vyote, Huramu akamfanyia mfalme Sulemani kwa nyumba ya BWANA, vya shaba iliyokatuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu vyungu, vipao na kanya na vyombo vingine vyote vya nyumba ya Yawe ambavyo Huruma-Abi alimutengenezea mufalme Solomono, vilikuwa vya shaba iliyoangarishwa.