2 Chronicles 4:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vitu hivyo vyote mfalme alivitengeneza katika uwanda wa Yordani, sehemu ya udongo wa mfinyanzi iliyokuwa kati ya Sukothi na Sereda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme aliagiza wavisubu vitu hivi kwenye kalibu za udongo wa mfinyanzi katika uwanda wa Yordani kati ya Sukothi na Sereda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika uwanda wa Yordani ndipo mfalme alipovisubu, katika udongo mzito kati ya Sukothi na Sereda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vitu hivyo vyote mfalme alivitengeneza katika uwanda wa Yordani, sehemu ya udongo wa mfinyanzi iliyokuwa kati ya Sukothi na Sereda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme aliagiza wavisubu vitu hivi kwenye kalibu za udongo wa mfinyanzi katika uwanda wa Yordani kati ya Sukothi na Seredatha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme aliagiza wavisubu vitu hivi kwenye kalibu za udongo wa mfinyanzi katika uwanda wa Yordani kati ya Sukothi na Sereda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika uwanda wa Yordani ndipo mfalme alipovisubu, katika udongo mzito kati ya Sukothi na Sereda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vitu hivyo vyote mfalme alivitengeneza katika uwanda wa Yordani, sehemu ya udongo wa mfinyanzi iliyokuwa kati ya Sukothi na Sereda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mfalme alikuwa ameagiza kuviyeyusha katika bwawa la Yordani penye udongo mgumu katikati ya miji ya Sukoti na Sereda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika uwanda wa Yordani ndipo mfalme alipovisubu, katika udongo mzito kati ya Sukothi na Sereda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vitu hivyo vyote mufalme alivitengeneza katika kiwanja cha Yordani, sehemu ya udongo wa mufinyanzi iliyokuwa kati ya Sukoti na Sereda.