2 Chronicles 4:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni alitengeneza vitu vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Mungu: Madhabahu ya dhahabu na meza za mikate ya kuwekwa mbele ya Mungu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sulemani pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Mungu: madhabahu ya dhahabu; meza za kuweka mikate ya Wonesho;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Sulemani akavifanya vyombo vyote vilivyokuwamo nyumbani mwa Mungu, madhabahu ya dhahabu pia, nazo meza, ambazo juu yake iliwekwa mikate ya wonyesho;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni alitengeneza vitu vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Mungu: madhabahu ya dhahabu na meza za mikate ya kuwekwa mbele ya Mungu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Solomoni pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Mungu: madhabahu ya dhahabu; meza za kuweka mikate Mitakatifu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sulemani pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Mungu: madhabahu ya dhahabu; meza za kuweka mikate ya Wonyesho;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Sulemani akavifanya vyombo vyote vilivyokuwamo nyumbani mwa Mungu, madhabahu ya dhahabu pia, nazo meza, ambazo juu yake iliwekwa mikate ya wonyesho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni alitengeneza vitu vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Mungu: Madhabahu ya dhahabu na meza za mikate ya kuwekwa mbele ya Mungu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Salomo alivyovitengeneza vyombo vyote vya kutumiwa nyumbani mwa Mungu, tena meza ya kutambikia iliyokuwa ya dhahabu na meza ya mikate, aliyowekewa Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Sulemani akavifanya vyombo vyote vilivyokuwamo nyumbani mwa Mungu, madhabahu ya dhahabu pia, nazo meza, ambazo juu yake iliwekwa mikate ya wonyesho;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Solomono alitengeneza vitu vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Mungu: mazabahu ya zahabu na meza za mikate mitakatifu;