2 Chronicles 4:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vinara na taa za dhahabu safi za kuangazia mahali pale patakatifu sana, kama ilivyoamriwa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vinara vya taa vya dhahabu safi pamoja na taa zake ili ziwake mbele ya mahali patakatifu kama ilivyoelekezwa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na vinara na taa zake, ziwake kama ilivyoagizwa mbele ya chumba cha ndani, vya dhahabu iliyosafika;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vinara na taa za dhahabu safi za kuangazia mahali pale patakatifu sana, kama ilivyoamriwa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
vinara vya taa vya dhahabu safi pamoja na taa zake ili ziwake mbele ya mahali pa ndani pa mahali Patakatifu kama ilivyoelekezwa;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
vinara vya taa vya dhahabu safi pamoja na taa zake ili ziwake mbele ya sehemu takatifu ya ndani kama ilivyoelekezwa;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na vinara na taa zake, ziwake kama ilivyoagizwa mbele ya chumba cha ndani, vya dhahabu iliyosafika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vinara na taa za dhahabu safi za kuangazia mahali pale patakatifu sana, kama ilivyoamriwa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na vinara pamoja na taa zao zilizokuwa za dhahabu zilizong'azwa, wapate kuziwasha mbele ya Patakatifu Penyewe, kama walivyoagizwa;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na vinara na taa zake, ziwake kama ilivyoagizwa mbele ya chumba cha ndani, vya dhahabu iliyosafika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
vinara na taa za zahabu safi za kuangazia Pahali pale Patakatifu Sana, kama vile walivyoamuriwa;