2 Chronicles 4:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maua, taa na koleo, vyote vikiwa vya dhahabu safi kabisa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
maua ya dhahabu yaliyofanyizwa, taa na makoleo (vilikuwa vya dhahabu bora kabisa);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na maua, na taa, na makoleo, ya dhahabu, ndiyo dhahabu bora;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maua, taa na koleo, vyote vikiwa vya dhahabu safi kabisa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
maua ya dhahabu yaliyofanyizwa, taa na makoleo (vilikuwa vya dhahabu bora kabisa);
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
maua ya dhahabu yaliyofanyizwa, taa na makoleo (vilikuwa vya dhahabu bora kabisa);
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na maua, na taa, na makoleo, ya dhahabu, ndiyo dhahabu bora;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maua, taa na koleo, vyote vikiwa vya dhahabu safi kabisa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo maua na taa na koleo za dhahabu zilikuwa dhahabu zisizochanganywa na menginemengine;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na maua, na taa, na makoleo, ya dhahabu, ndiyo dhahabu bora;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maua, taa na koleo, vyote vikiwa vya zahabu safi kabisa;