2 Chronicles 4:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chini ya ukingo kulizunguka hilo tangi, kulikuwa na safu mbili za mapambo ya mafahali, safu moja juu ya safu nyingine; mapambo hayo yalifyatuliwa pamoja na sehemu nyingine za hilo tangi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chini ya huo ukingo, kulikuwa na mafahali kuizunguka, yaani mafahali kumi katika kila dhiraa moja. Hayo mafahali waliyasubu katika safu mbili yakiwa ya kitu kimoja na hiyo Bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na chini yake palikuwa na mifano ya ng'ombe,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chini ya ukingo kulizunguka hilo tangi, kulikuwa na safu mbili za mapambo ya mafahali, safu moja juu ya safu nyingine; mapambo hayo yalifyatuliwa pamoja na sehemu nyingine za hilo tangi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chini ya huo ukingo, kulikuwa na mafahali kuizunguka, yaani mafahali kumi katika kila dhiraa moja. Hayo mafahali waliyasubu katika safu mbili yakiwa ya kitu kimoja na hiyo Bahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chini ya huo ukingo, kulikuwa na mafahali kuizunguka, yaani mafahali kumi katika kila dhiraa moja. Hayo mafahali waliyasubu katika safu mbili yakiwa ya kitu kimoja na hiyo Bahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na chini yake palikuwa na mifano ya fahali, walioizunguka pande zote, kwa dhiraa kumi, wakiizunguka pande zote ile bahari. Fahali walikuwa safu mbili, wakayeyushwa hapo ilipoyeyushwa hiyo bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chini ya ukingo kulizunguka hilo tangi, kulikuwa na safu mbili za mapambo ya mafahali, safu moja juu ya safu nyingine; mapambo hayo yalifyatuliwa pamoja na sehemu nyingine za hilo tangi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chini yake palikuwa na mifano ya ng'ombe iliyoizunguka pande zote pia, kumi kwa mkono mmoja, ikaizunguka hiyo bahari kuwa ukingo wa chini wenye mistari miwili; nayo hii mifano ya ng'ombe ilikuwa imeyeyushiwa mumo humo, bahari ilipoyeyushwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na chini yake palikuwa na mifano ya ng’ombe, walioizunguka pande zote, kwa mikono kumi, wakiizunguka pande zote ile bahari. Ng’ombe walikuwa safu mbili, wakayeyushwa hapo ilipoyeyushwa hiyo bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chini ya ukingo wake, kuzunguka lile birika, kulikuwa mistari miwili ya sanamu za ngombe dume, kwa metre kumi na tatu na nusu. Sanamu hizo za ngombe dume zilikuwa zimetengenezwa na shaba ileile wakati birika lilipofanywa.