2 Chronicles 4:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza ua wa ndani wa makuhani na mwingine mkubwa wa nje, na milango ya ua ambayo aliifunika kwa shaba;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza ukumbi wa makuhani, na ukumbi mwingine mkubwa na milango yake, naye akaifunika hiyo milango kwa shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena akaufanya ua wa makuhani, na ua mkubwa, nayo milango yake, akaifunikiza kwa shaba milango yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza ua wa ndani wa makuhani na mwingine mkubwa wa nje, na milango ya ua ambayo aliifunika kwa shaba;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza ukumbi wa makuhani na ukumbi mwingine mkubwa na milango yake, naye akaifunika hiyo milango kwa shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza ukumbi wa makuhani na ukumbi mwingine mkubwa na milango yake, naye akaifunika hiyo milango kwa shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena akatengeneza ua wa makuhani, na ua mkubwa, nayo milango yake, akaifunikiza kwa shaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza ua wa ndani wa makuhani na mwingine mkubwa wa nje, na milango ya ua ambayo aliifunika kwa shaba;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akautengeneza ua wa watambikaji na ua mwingine mkubwa na milango ya uani, hii milango akaifunika kwa mabati ya shaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena akaufanya ua wa makuhani, na ua mkubwa, nayo milango yake, akaifunikiza kwa shaba milango yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatengeneza kiwanja cha ndani cha makuhani na kingine kikubwa cha inje, na milango ya kiwanja ambayo aliifunika na shaba;