2 Chronicles 6:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Solomoni akasema, “Mwenyezi-Mungu alisema ya kwamba atakaa katika giza nene.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Sulemani akasema, “Mwenyezi Mungu alisema kwamba ataishi katika giza nene.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Sulemani akanena, Bwana alisema ya kwamba atakaa katika giza nene.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Solomoni akasema, “Mwenyezi-Mungu alisema ya kwamba atakaa katika giza nene.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Solomoni akasema, “BWANA alisema ya kwamba angelikaa katika wingu jeusi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Sulemani akasema, “ bwana alisema kwamba ataishi katika giza nene.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Sulemani akanena, BWANA alisema ya kwamba atakaa katika giza nene.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Solomoni akasema, “Mwenyezi-Mungu alisema ya kwamba atakaa katika giza nene.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Salomo aliposema: Bwana alisema, ya kuwa hukaa mawinguni mwenye weusi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Sulemani akanena, BWANA alisema ya kwamba atakaa katika giza nene.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Solomono akasema: “Yawe alisema kwamba atakaa katika giza kubwa.