2 Chronicles 6:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika nyumba hiyo nimeliweka sanduku la agano, ambalo ndani yake mna agano la Mwenyezi-Mungu alilofanya na watu wa Israeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeliweka humo Sanduku la Agano, ambalo ndani yake kuna lile Agano la Mwenyezi Mungu alilofanya na watu wa Israeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndimo nilimoliweka hilo sanduku, ambalo ndani yake mna agano la Bwana, alilolifanya na wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika nyumba hiyo nimeliweka sanduku la agano, ambalo ndani yake mna agano la Mwenyezi-Mungu alilofanya na watu wa Israeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeliweka humo Sanduku la Agano, ambalo ndani yake ndimo liliko lile Agano la BWANA alilofanya na watu wa Israeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeliweka humo Sanduku la Agano, ambamo ndani yake kuna lile Agano la bwana alilofanya na watu wa Israeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndimo nilimoliweka hilo sanduku, ambalo ndani yake mna agano la BWANA, alilolifanya na wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika nyumba hiyo nimeliweka sanduku la agano, ambalo ndani yake mna agano la Mwenyezi-Mungu alilofanya na watu wa Israeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikaliweka humu Sanduku, Agano la Bwana lilimo, alilolifanya na wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndimo nilimoliweka hilo sanduku, ambalo ndani yake mna agano la BWANA, alilolifanya na wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika nyumba hiyo nimeweka Sanduku la Agano, ambalo ndani yake kuna agano la Yawe alilofanya na watu wa Israeli.”