2 Chronicles 6:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Solomoni alisimama mbele ya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu halafu mbele ya jumuiya yote ya watu wa Israeli, aliinua mikono yake juu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Sulemani akasimama mbele ya madhabahu ya Mwenyezi Mungu machoni pa kusanyiko lote la Israeli, naye akanyoosha mikono yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasimama mbele ya madhabahu ya Bwana, machoni pa mkutano wote wa Israeli, akainyosha mikono;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Solomoni alisimama mbele ya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu halafu mbele ya jumuiya yote ya watu wa Israeli, aliinua mikono yake juu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Solomoni akasimama mbele ya madhabahu ya BWANA machoni pa kusanyiko lote la Israeli, naye akakunjua mikono yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Sulemani akasimama mbele ya madhabahu ya bwana machoni pa kusanyiko lote la Israeli, naye akakunjua mikono yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sulemani akasimama mbele ya madhabahu ya BWANA, machoni pa mkutano wote wa Israeli, akainyosha mikono;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Solomoni alisimama mbele ya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu halafu mbele ya jumuiya yote ya watu wa Israeli, aliinua mikono yake juu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaja kusimama mbele ya meza ya kumtambikia Bwana machoni pao mkutano wote wa Waisiraeli, akaikunjua mikono yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasimama mbele ya madhabahu ya BWANA, machoni pa mkutano wote wa Israeli, akainyosha mikono;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Solomono akasimama mbele ya mazabahu ya Yawe, halafu mbele ya mukutano wote wa watu wa Israeli, akainua mikono yake juu.