2 Chronicles 6:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nakusihi utimize yote uliyomwahidi mtumishi wako Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa, Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, acha neno lako lile ulilomwahidi mtumishi wako Daudi baba yangu litimie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, Ee Bwana, Mungu wa Israeli, ulithibitishe neno lako, ulilomwambia mtumishi wako Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nakusihi utimize yote uliyomwahidi mtumishi wako Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa, Ee BWANA, Mungu wa Israeli, acha neno lako lile ulilomwahidi mtumishi wako Daudi baba yangu litimie sawasawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa, Ee bwana, Mungu wa Israeli, acha neno lako lile ulilomwahidi mtumishi wako Daudi baba yangu litimie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, Ee BWANA, Mungu wa Israeli, ulithibitishe neno lako, ulilomwambia mtumishi wako Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nakusihi utimize yote uliyomwahidi mtumishi wako Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa Bwana Mungu wa Isiraeli, hilo neno lako, ulilomwambia mtumishi wako Dawidi, na lishupazwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, Ee BWANA, Mungu wa Israeli, ulithibitishe neno lako, ulilomwambia mtumishi wako Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, ee Yawe, Mungu wa Israeli, ninakusihi utimize yote uliyomwahidi mutumishi wako Daudi.