2 Chronicles 6:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo watakutii na kuenenda katika njia zako wakati wote wanapoishi katika nchi uliyowapa babu zetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili wakuogope na kuenenda katika utiifu kwako wakati wote watakaoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili wakuche wewe, waziendee njia zako, siku zote watakazoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo watakutii na kuenenda katika njia zako wakati wote wanapoishi katika nchi uliyowapa babu zetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili wakuogope kwa wakati wote watakaoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili wakuogope kwa wakati wote watakaoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili wakuche wewe, waziendee njia zako, siku zote watakazoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo watakutii na kuenenda katika njia zako wakati wote wanapoishi katika nchi uliyowapa babu zetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kusudi wakuogope na kuzishika njia zako siku zote, watakazokuwapo katika nchi hii, uliyowapa baba zetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili wakuche wewe, waziendee njia zako, siku zote watakazoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi wakutii na kwenda katika njia zako wakati wote wanapoishi katika inchi uliyowapa babu zetu.