2 Chronicles 6:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nakusihi usikie sala yao na maombi yao ukiwa huko mbinguni na uwapatie ushindi vitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi usikie dua na maombi yao ukiwa mbinguni, ukawape haki yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi uyasikie huko mbinguni wayaombayo, na kusihi, ukaitetee haki yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nakusihi usikie sala yao na maombi yao ukiwa huko mbinguni na uwapatie ushindi vitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi usikie dua na maombi yao kutoka mbinguni, ukawatetee haki yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi usikie dua na maombi yao kutoka mbinguni, ukawatetee haki yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi uyasikie huko mbinguni wayaombayo, na kusihi, ukaitetee haki yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nakusihi usikie sala yao na maombi yao ukiwa huko mbinguni na uwapatie ushindi vitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, hapo na uyasikie huko mbinguni maombo yao na malalamiko yao, uwatengenezee shauri lao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi uyasikie huko mbinguni wayaombayo, na kusihi, ukaitetee haki yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ninakusihi usikilize maombi yao na malalamiko yao ukiwa kule mbinguni na uwapatie ushindi katika vita.