2 Chronicles 6:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, nakusihi usikie huko mbinguni uliko sala yao na maombi yao na uwapatie haki zao, uwasamehe watu wako ambao wametenda dhambi dhidi yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi usikie dua na maombi yao ukiwa mbinguni, makao yako, ukawape haki yao. Uwasamehe watu wako, waliotenda dhambi dhidi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi uyasikie toka mbinguni, toka makaoni mwako, wayaombayo, na kusihi, ukaitetee haki yao; ukawasamehe watu wako, waliokosa juu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, nakusihi usikie huko mbinguni uliko sala yao na maombi yao na uwapatie haki zao, uwasamehe watu wako ambao wametenda dhambi dhidi yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi kutoka mbinguni, mahali pa makao yako, usikie dua yao na maombi yao na ukatetee haki yao. Uwasamehe watu wako, waliotenda dhambi dhidi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi kutoka mbinguni, mahali pa makao yako, usikie dua yao na maombi yao na kuitetea haki yao. Uwasamehe watu wako, waliotenda dhambi dhidi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi uyasikie toka mbinguni, toka makaoni mwako, wayaombayo, na kusihi, ukaitetee haki yao; ukawasamehe watu wako, waliokosa juu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, nakusihi usikie huko mbinguni uliko sala yao na maombi yao na uwapatie haki zao, uwasamehe watu wako ambao wametenda dhambi dhidi yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, wewe huko mbinguni kuliko na Kao lako la kukaa na uyasikie maombo yao na malalamiko yao, uwatengenezee shauri lao na kuwaondolea walio ukoo wako makosa yao, waliyokukosea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi uyasikie toka mbinguni, toka makaoni mwako, wayaombayo, na kusihi, ukaitetee haki yao; ukawasamehe watu wako, waliokosa juu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, ninakusihi usikilize ukiwa kule mbinguni maombi yao na malalamiko yao na uwapatie haki zao tena uwasamehe watu wako ambao wametenda zambi mbele yako.