2 Chronicles 6:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sasa ee Mungu wangu, tuangalie na upokee maombi tutakayoomba mahali hapa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sasa, Mungu wangu, macho yako na yafumbuke na masikio yako yasikie maombi yanayoombwa katika mahali hapa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa, Ee Mungu wangu, macho yako yafumbuke, nakusihi, masikio yako yakasikilize maombi yaombwayo mahali hapa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sasa ee Mungu wangu, tuangalie na upokee maombi tutakayoomba mahali hapa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sasa, Mungu wangu, macho yako na yafumbuke na masikio yako yasikie maombi yaombwayo mahali hapa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa, Mungu wangu, macho yako na yafumbuke na masikio yako yasikie maombi yaombwayo mahali hapa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa, Ee Mungu wangu, macho yako yafumbuke, nakusihi, masikio yako yakasikilize maombi yaombwayo mahali hapa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sasa ee Mungu wangu, tuangalie na upokee maombi tutakayoomba mahali hapa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa Mungu wangu, uwe macho, nayo masikio yako yawe yametegwa kuyasikiliza maombo ya mahali hapa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa, Ee Mungu wangu, macho yako yafumbuke, nakusihi, masikio yako yakasikilize maombi yaombwayo mahali hapa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Sasa ee Mungu wangu, utuangalie na upokee maombi tutakayoomba pahali hapa.