2 Chronicles 6:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Bwana Mungu, usimpige kisogo masiha wako. Kumbuka fadhili zako kwa mtumishi wako Daudi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana Mwenyezi Mungu, usimkatae mpakwa mafuta wako. Kumbuka upendo mkuu uliomwahidia Daudi mtumishi wako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, Mungu, usiurudishe nyuma uso wa masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Bwana Mungu, usimpige kisogo masiha wako. Kumbuka fadhili zako kwa mtumishi wako Daudi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA Mungu, usimkatae mpakwa mafuta wako. Kumbuka upendo mkuu uliomwahidia Daudi mtumishi wako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana Mwenyezi Mungu, usimkatae mpakwa mafuta wako. Kumbuka upendo mkuu uliomwahidia Daudi mtumishi wako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, Mungu, usimpe kisogo masihi wako; uzikumbuke fadhili za Daudi mtumishi wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Bwana Mungu, usimpige kisogo masiha wako. Kumbuka fadhili zako kwa mtumishi wako Daudi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu, usikatae kuuona uso wa mtu wako aliyepakwa mafuta! Yakumbuke nayo matendo ya upole ya mtumishi wako Dawidi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, Mungu, usiurudishe nyuma uso wa masihi wako; uzikumbuke fadhili za Daudi mtumishi wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ee Yawe, Mungu, usimugeuzie masiya wako mugongo. Kumbuka wema wako kwa mutumishi wako Daudi.”