2 Chronicles 7:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikiwanyima mvua ama nikiwaletea nzige wale mimea yao au wakipatwa na maradhi mabaya
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nitakapofunga mbingu ili isiwepo mvua, au nikiamuru nzige kula mazao ya nchi au nikituma tauni miongoni mwa watu wangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikizifunga mbingu isiwe mvua, tena nikiamuru nzige kula nchi, au nikiwapelekea watu wangu tauni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikiwanyima mvua ama nikiwaletea nzige wale mimea yao au wakipatwa na maradhi mabaya
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati nitakapofunga mbingu ili isiwepo mvua, au nikiamuru nzige kula mazao ya nchi au nikituma tauni miongoni mwa watu wangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati nitakapofunga mbingu ili isiwepo mvua, au nikiamuru nzige kula mazao ya nchi au nikituma tauni miongoni mwa watu wangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikizifunga mbingu isiwepo mvua, tena nikiamuru nzige kula nchi, au nikiwatumia watu wangu tauni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikiwanyima mvua ama nikiwaletea nzige wale mimea yao au wakipatwa na maradhi mabaya
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, nizizibe mbingu, mvua isinye, au niagize nzige, waile nchi hii, au nitume magonjwa mabaya kwao walio ukoo wangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikizifunga mbingu isiwe mvua, tena nikiamuru nzige kula nchi, au nikiwapelekea watu wangu tauni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikiwanyima mvua au nikiwaletea nzige wakule mimea yao au nikiwapiga kwa ugonjwa mukali