2 Chronicles 7:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa nitalichunga hekalu hili na kusikiliza maombi yatakayofanyika hapa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa macho yangu yatafumbuka na masikio yangu yatasikiliza kwa makini maombi yanayoombwa mahali hapa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa nitalichunga hekalu hili na kusikiliza maombi yatakayofanyika hapa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa macho yangu yatafumbuka na masikio yangu yatasikiliza kwa makini maombi yaombwayo mahali hapa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa macho yangu yatafumbuka na masikio yangu yatasikiliza kwa makini maombi yaombwayo mahali hapa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa nitalichunga hekalu hili na kusikiliza maombi yatakayofanyika hapa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tangu sasa macho yangu yatakuwa wazi, nayo masikio yangu yatakuwa yametegwa kuyasikiliza, watakayoniomba mahali hapa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa nitachunga hekalu hili na kusikiliza maombi yatakayofanyika hapa,