2 Chronicles 7:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa maana nimeitakasa nyumba hii ili watu waliabudu jina langu hapa milele. Nitailinda na kuipenda daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana sasa nimechagua na kutakasa Hekalu hili ili Jina langu lipate kuwa humo milele. Macho yangu na moyo wangu vitakuwepo daima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa maana nimeitakasa nyumba hii ili watu waliabudu jina langu hapa milele. Nitailinda na kuipenda daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana sasa nimechagua na kutakasa Hekalu hili ili kwamba Jina langu lipate kuwa huko milele. Macho yangu na moyo wangu utakuwepo huko daima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana sasa nimechagua na kutakasa Hekalu hili ili kwamba Jina langu lipate kuwa huko milele. Macho yangu na moyo wangu utakuwepo huko daima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa maana nimeitakasa nyumba hii ili watu waliabudu jina langu hapa milele. Nitailinda na kuipenda daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa nimeichagua Nyumba hii, nikaitakasa, Jina langu lipate kuwa humu kale na kale, nayo macho yangu na moyo wangu yatakuwa humu siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa maana nimetakasa nyumba hii kusudi watu waliabudu jina langu hapa milele. Nitailinda na kuipenda siku zote.