2 Chronicles 7:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawe, kama ukinitumikia kwa uaminifu kama Daudi baba yako alivyofanya, ukitenda yote niliyokuamuru na kutii maongozi yangu na maagizo yangu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwako wewe, ukienenda mbele zangu kama Daudi baba yako alivyoenenda, na kufanya yote ninayokuamuru, nawe ukizishika amri zangu na sheria zangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe, ukienda mbele yangu kama alivyokwenda Daudi baba yako, ufanye sawasawa na yote niliyokuamuru, na kuzishika sheria zangu na hukumu zangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawe, kama ukinitumikia kwa uaminifu kama Daudi baba yako alivyofanya, ukitenda yote niliyokuamuru na kutii maongozi yangu na maagizo yangu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa habari yako wewe, kama ukienenda mbele zangu kama Daudi baba yako alivyoenenda na kufanya yote nikuamuruyo, nawe ukizishika amri zangu na sheria zangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa habari yako wewe, kama ukienenda mbele zangu kama Daudi baba yako alivyoenenda na kufanya yote nikuamuruyo, nawe ukizishika amri zangu na sheria zangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe, ukienda mbele yangu kama alivyokwenda Daudi baba yako, ufanye kulingana na yote niliyokuamuru, na kuzishika sheria zangu na hukumu zangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawe, kama ukinitumikia kwa uaminifu kama Daudi baba yako alivyofanya, ukitenda yote niliyokuamuru na kutii maongozi yangu na maagizo yangu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe nawe ukiendelea kuwa machoni pangu, kama baba yako Dawidi alivyoendelea, uyafanye yote, niliyokuagiza, ukiyaangalia maongozi yangu na maamuzi yangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe, ukienda mbele yangu kama alivyokwenda Daudi baba yako, ufanye sawasawa na yote niliyokuamuru, na kuzishika sheria zangu na hukumu zangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe kama ukinitumikia kwa uaminifu kama vile Daudi baba yako alivyofanya, ukitenda yote niliyokuamuru na kutii maongozi yangu na maagizo yangu,