2 Chronicles 7:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, mimi nitakiimarisha kiti chako cha ufalme kama nilivyofanya agano na Daudi baba yako nikisema, ‘Hutakosa mtu wa kutawala Israeli.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nitakiimarisha kiti chako cha ufalme kama nilivyoagana na Daudi baba yako niliposema, ‘Hutakosa kamwe mtu wa kutawala Israeli.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo nitakithibitisha kiti cha enzi cha ufalme wako, kama nilivyoagana na Daudi baba yako, nikisema, Hutakosa kuwa na mtu wa kutawala katika Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, mimi nitakiimarisha kiti chako cha ufalme kama nilivyofanya agano na Daudi baba yako nikisema, ‘Hutakosa mtu wa kutawala Israeli.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakifanya imara kiti chako cha enzi kama nilivyoagana na Daudi baba yako wakati niliposema, ‘Hutakosa kamwe mtu wa kutawala juu ya Israeli.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakiimarisha kiti chako cha enzi kama nilivyoagana na Daudi baba yako niliposema, ‘Hutakosa kamwe mtu wa kutawala juu ya Israeli.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo nitakithibitisha kiti cha enzi cha ufalme wako, kama nilivyoagana na Daudi baba yako, nikisema, Hutakosa kuwa na mtu wa kutawala katika Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, mimi nitakiimarisha kiti chako cha ufalme kama nilivyofanya agano na Daudi baba yako nikisema, ‘Hutakosa mtu wa kutawala Israeli.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, nitakapokisimamisha kiti cha kifalme cha ufalme wako, kama nilivyomwagia baba yako Dawidi kwamba: Kwako hakutakoseka mtu atakayewatawala Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo nitakithibitisha kiti cha enzi cha ufalme wako, kama nilivyoagana na Daudi baba yako, nikisema, Hutakosa kuwa na mtu wa kutawala katika Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, mimi nitaimarisha kiti chako cha kifalme kama nilivyofanya agano na Daudi baba yako nikisema: ‘Hautakosa mutu wa kutawala inchi ya Israeli.’