2 Chronicles 7:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kuwa utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulijaa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, makuhani hawakuweza kuingia humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makuhani hawakuweza kuingia ndani ya Hekalu la Mwenyezi Mungu kwa sababu utukufu wa Mwenyezi Mungu ulilijaza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala makuhani hawakuweza kuingia nyumbani mwa Bwana, kwa kuwa utukufu wa Bwana umeijaza nyumba ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kuwa utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulijaa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, makuhani hawakuweza kuingia humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makuhani hawakuweza kuingia ndani ya Hekalu la BWANA kwa sababu utukufu wa BWANA ulilijaza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makuhani hawakuweza kuingia ndani ya Hekalu la bwana kwa sababu utukufu wa bwana ulilijaza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala makuhani hawakuweza kuingia nyumbani mwa BWANA, kwa kuwa utukufu wa BWANA umeijaza nyumba ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kuwa utukufu wa Mwenyezi-Mungu ulijaa nyumba ya Mwenyezi-Mungu, makuhani hawakuweza kuingia humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo watambikaji hawakuweza kuingia Nyumbani mwa Bwana, kwa kuwa utukufu wa Bwana ulijaa Nyumbani mwa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala makuhani hawakuweza kuingia nyumbani mwa BWANA, kwa kuwa utukufu wa BWANA umeijaza nyumba ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makuhani hawakuweza kuingia mule kwa sababu utukufu wa Yawe ulijaa nyumba ya Yawe.