2 Chronicles 7:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha mfalme Solomoni na watu wote walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo mfalme na watu wote wakatoa dhabihu mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mfalme na watu wote wakatoa dhabihu mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha mfalme Solomoni na watu wote walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo mfalme na watu wote wakatoa dhabihu mbele za BWANA Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo mfalme na watu wote wakatoa dhabihu mbele za bwana Mwenyezi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mfalme na watu wote wakatoa dhabihu mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha mfalme Solomoni na watu wote walimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfalme na mkutano wote wa watu wakamtolea Bwana ng'ombe za tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mfalme na watu wote wakatoa dhabihu mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mufalme Solomono na watu wote wakamutolea Yawe sadaka.