2 Chronicles 8:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miaka ishirini, ambayo Solomoni aliijenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu ilipokwisha kupita,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani alilijenga Hekalu la Mwenyezi Mungu na jumba lake mwenyewe la kifalme,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani aliijenga nyumba ya Bwana, na nyumba yake mwenyewe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miaka ishirini, ambayo Solomoni aliijenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu ilipokwisha kupita,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikawa mwisho wa miaka ishirini, ambayo katika hiyo Solomoni alilijenga Hekalu la BWANA na jumba lake mwenyewe la kifalme,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani alilijenga Hekalu la bwana na jumba lake mwenyewe la kifalme,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani aliijenga nyumba ya BWANA, na nyumba yake mwenyewe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miaka ishirini, ambayo Solomoni aliijenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu ilipokwisha kupita,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ile miaka ishirini, ambayo Salomo aliijenga Nyumba ya Bwana na nyumba yake, ilipokwisha,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani aliijenga nyumba ya BWANA, na nyumba yake mwenyewe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha miaka makumi mbili, ambayo Solomono alipitisha kwa kujenga nyumba ya Yawe na nyumba ya kifalme,