2 Chronicles 8:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu wa mfalme Solomoni: Walikuwa 250, waliokuwa na mamlaka juu ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia walikuwa maafisa wakuu wa Mfalme Sulemani, maafisa wakaguzi mia mbili na hamsini waliosimamia watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao walikuwa maakida wakuu wa Sulemani, watu mia mbili na hamsini, waliotawala juu ya watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu wa mfalme Solomoni: walikuwa 250, waliokuwa na mamlaka juu ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia walikuwa maafisa wakuu wa Mfalme Solomoni, yaani, maafisa wakaguzi 250 waliosimamia watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia walikuwa maafisa wakuu wa Mfalme Sulemani, yaani, maafisa wakaguzi 250 waliosimamia watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao walikuwa maofisa wakuu wa Sulemani, watu mia mbili na hamsini, waliotawala juu ya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ifuatayo ndiyo jumla ya maofisa wakuu wa mfalme Solomoni: Walikuwa 250, waliokuwa na mamlaka juu ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakuu wa mfalme Salomo waliowekwa kusimamia kazi walikuwa 250, ndio waliowatawala watu wa kazi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao walikuwa maakida wakuu wa Sulemani, watu mia mbili na hamsini, waliotawala juu ya watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo jumla ya wakubwa wa mufalme Solomono: walikuwa mia mbili makumi tano, waliokuwa na mamlaka juu ya watu.