2 Chronicles 8:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Solomoni alimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko za kuteketeza juu ya madhabahu aliyokuwa amemjengea Mwenyezi-Mungu mbele ya ukumbi wa hekalu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Sulemani akamtolea Mwenyezi Mungu dhabihu za kuteketezwa juu ya madhabahu ya Mwenyezi Mungu ambayo alikuwa ameijenga mbele ya ukumbi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Sulemani akamtolea Bwana sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya Bwana, aliyoijenga mbele ya ukumbi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Solomoni alimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko za kuteketeza juu ya madhabahu aliyokuwa amemjengea Mwenyezi-Mungu mbele ya ukumbi wa hekalu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Solomoni akamtolea BWANA dhabihu za kuteketezwa juu ya madhabahu ya BWANA ambayo alikuwa ameijenga mbele ya ukumbi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Sulemani akamtolea bwana dhabihu za kuteketezwa juu ya madhabahu ya bwana ambayo alikuwa ameijenga mbele ya ukumbi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Sulemani akamtolea BWANA sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya BWANA, aliyoijenga mbele ya ukumbi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Solomoni alimtolea Mwenyezi-Mungu tambiko za kuteketeza juu ya madhabahu aliyokuwa amemjengea Mwenyezi-Mungu mbele ya ukumbi wa hekalu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tangu hapo ndipo, Salomo alipomtolea Bwana ng'ombe za tambiko za kuteketezwa hapo mezani pa kumtambikia Bwana, alipopajenga mbele ya ukumbi;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Sulemani akamtolea BWANA sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya BWANA, aliyoijenga mbele ya ukumbi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Solomono akamutolea Yawe sadaka za kuteketeza juu ya mazabahu aliyokuwa amemujengea Yawe mbele ya baraza la hekalu.